Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

  • Kufua
  • Kumeza/Kunywa dawa
  • Kuosha vyombo
Bora unipe eneo nilime kuliko kufua nguo, hasa majinzi. Daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…