Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what a kind heart [emoji3590] ila hamna namnaa[emoji56]Sipendi kumwambia mtu simpendi hata kama simpendi[emoji17][emoji17][emoji17]
Kamba yao itafika kwetu?Hivi mbogamboga watakuwa na portion yao hapo kwenye mahari?😀
Nauliza tu🏃♀️
Mambo fulani hivi ya kukata upepo 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂Mambo fulani hivi ya kukata upepo 🤣🤣
HahahahahaMambo fulani hivi ya kukata upepo 🤣🤣
Mnakata upepo sio?😂😂😂😂😂😂
Una nini bwana??🤣🤣
Upepo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Una nini bwana??🤣🤣
Niache basi🤣Upepo 😂😂
Hapana😂Mnakata upepo sio?
Hivi baba haitakatika kweli??Kamba yao itafika kwetu?
Halafu wameruhusiwa 'kujipimia'Hivi baba haitakatika kweli??
Maana wataifosi kula kuzidi urefu wake😂😂😂
Sasa itakuwaje😂😂😂😂😝?Halafu wameruhusiwa 'kujipimia'
Ukiwaweka kwenye kamati lets say ya vinywaji wanaweza upigia mwingi huko siku ya tukio unakuta peupe 😂
Tuendelee kuwaasa tu kwamba kuna 'kuvimbiwa'Sasa itakuwaje😂😂😂😂😝?
"Lakini mbona mnakula sana?"Tuendelee kuwaasa tu kwamba kuna 'kuvimbiwa'
Si wewe umesema shemeji yetu[emoji16]
Hahahah!😂😂😂Shemeji yangu mimi. Na wewe tafuta shemeji yako