Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Labda kama hutokuja kuwa na maisha yako..lakini kama unategemea kuwa na maisha yako hapo baadae u anti sosho si mzuri mdogo wangu
Yaani mimi
Sijui ni pepo hili[emoji848]
Hadi kusalimia wageni huwa naona tabu,si kama siwapendi..basi tu huwa sipo comfortable.
Nitajitahidi nibadilike,tabia za kiintrovert nitapunguza.
 
Sipendi kuishi, ila naishi tu kwasababu siwezi kujiua .
Sipendi kazi ninayofanya, ila nafanya tu kwasababu inatake care mambo yangu.
Sipendi kuishi bila mke, ila naishi tu kwasababu wanawake nao ndo ivo tena.
Sipendi umri nilionao, ila ndoivo tena siwezi kuurefusha/kujizeesha.
Sipendi kula ila ndo ivo sina kinga ya njaa.

Nikimaliza kula ntaendelea kuandika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He hata mimi napenda mazingira ya ukimya na kukaa peke yangu lkni wewe umenishinda kwa tabia[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kuna miaka nilikuwa naachwa nyumbani kama mlinzi...nyie zungukeni muwezavyo,mkirudi mtanikuta ndani.
Na wakirudi wananiletea vitu vyote vya kupika hapo sasa ni mimi na jikoni,mimi na chumbani.
Shule nimepata tabu mno.
 
Sipendi kabisa kuongea na simu ninapendelea kuchat kuliko kuongea

Halafu nadhani Niki chat nakuwaga active,smart and funny kuliko ninapoongea
Sipendi kuchat napenda kuongea
 
Sipendi kuishi, ila naishi tu kwasababu siwezi kujiua .
Sipendi kazi ninayofanya, ila nafanya tu kwasababu inatake care mambo yangu.
Sipendi kuishi bila mke, ila naishi tu kwasababu wanawake nao ndo ivo tena.
Sipendi umri nilionao, ila ndoivo tena siwezi kuurefusha/kujizeesha.
Sipendi kula ila ndo ivo sina kinga ya njaa.

Nikimaliza kula ntaendelea kuandika.
Jehovah..mbona unamaisha magumu sasa khe
 
Waow Asante kwa kunipenda[emoji7][emoji7]
Naomba unipe huyo kaka yako anioe jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi yangu itakuwa kulea kumpenda na kumhudumia yeye na watoto wetu.
Nipo bado nyumbani Sina mchumba,binti Safi kabisa mwilini na rohoni tayari kwa kuwa mwanamke mke wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji126][emoji4]itabidi tuingie inbox my wiiii tuchonge vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi kusafiri.
Huwa nasafiri basi tu unakuta Safari ni ya lazima.
Safari ikikaribia nawaza hadi nakonda.

Sipendi kuongea na simu.
Kuna muda inaweza iite na nisipokee na ninaiona kabisa.
Mara moja moja sana nalazimika kupokea.
 
Yani inakuwa vigumu ndio maana huwa siamini kama kuna sehemu naweza ajiriwa. Hivyo najipanga kabisa kwani najua nina asili kama ya ukosoaji na ubishi. Siasa hizo nazikwepa.
Follow your heart mkuu.do what makes you happy hakuna namna..

Nitakuja unipe ajira katika kampuni yako
 
Hujawahi kuwa na mshikaji mwenye vituko na mastory km yote alaf hamuonani kila mara so mnajikuta mikasa yote mnapeana kwenye simu.Lisaa lazma lisome[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini lisaa nilikuwa naomngea saa nne mfululizo tunastuliwa na lisaa liko fika simu inakata tunaanza tena upya...hamtamani kumaliza ni utani mwanzo mwisho
 
Yaani mimi
Sijui ni pepo hili[emoji848]
Hadi kusalimia wageni huwa naona tabu,si kama siwapendi..basi tu huwa sipo comfortable.
Nitajitahidi nibadilike,tabia za kiintrovert nitapunguza.
Jitahidi aise hiyo si sawa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kuna miaka nilikuwa naachwa nyumbani kama mlinzi...nyie zungukeni muwezavyo,mkirudi mtanikuta ndani.
Na wakirudi wananiletea vitu vyote vya kupika hapo sasa ni mimi na jikoni,mimi na chumbani.
Shule nimepata tabu mno.
Khe
 
Back
Top Bottom