Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikija kuwa na mwili mkubwa sijui itakuwaje [emoji16]Nitakupa wa kwangu mama mchungaji
Ndiyo ukae mbali nami mita mojaSa itakuwaje jirani na mimi sipendi mswaki[emoji28][emoji28]
Hapa nakusupport jirani yangu..Sipendi uongo, yani mtu akiwa muongo nakorofishana nae mapema sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umeibukia wapi jirani..jirani yetu mnazareti hajambo??
Eee hee bana sipendagi kyupi jirani
Ukweli unamuweka mtu huru liwe baya liwe zuri,Hapa nakusupport jirani yangu..
Muongo muongo halafu chenga kibao [emoji2296][emoji2296][emoji2296]Naweza kumtafuna..na huwa ninachukia hasira hunipanda kama anaconda....
Mwisho wa siku naishia kukaa kimya lkni nafasi niliyokupa mwanzo haiwezi ukweli tena
Endelea kuwa mkweli hivyo hivyo mbinguni ni kwako kabisa..Ukweli unamuweka mtu huru liwe baya liwe zuri,
Mimi nikijaribu kusema uongo nafsi inaniumaaaa kabisa, napenda kuongea ya wazi, ingawa yana nigharimu sana
Ni funua weka yaliyomo yamoJambo la kheri kama nyote mu wazima..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwendraaa
Mita mia kudadeki [emoji1624] to [emoji1624] sitaki maarufu yako ya mdomoThubutuuuuu..[emoji28][emoji28][emoji28]ziro distance itakuhusu [emoji2957][emoji2957]
Nakuchana ukweli utajua mwenyewe ukasirike usikasirike mwishowe mimi nakua na amani kuutoa ukweliEndelea kuwa mkweli hivyo hivyo mbinguni ni kwako kabisa..
Kuna watu hawapendi kuambiwa ukweli aise loh!!
Jehovah...pole mkuu hakuna namnaSipendi chama cha siasa kitumie rangi ya njano au kijani, ila basi tu sina mamlaka.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sivai kondom lakini pia sipigi game bila kukujua kiaafyaUnataka ngwengwe wewe