Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Umewaona wakishangilia ?
Hapo mwanzo kulikuwako Neno
Naye Neno alikuwako kwa Mungu
Naye Neno alikuwa ni Mungu.

Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa Neno ambaye ni Mungu.
Neno lake ni amini na kweli.
Imani Ni kuwa na hakika ya mambo,ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

BTW nimewahi ona,si kwa macho ya nyama...
Vipi,na wewe unatamani uone?
Tengeneza kwanza na MUNGU (personal fellowship)
 
Hapo mwanzo kulikuwapo na Neno
Naye Neno alikuwako kwa Mungu
Naye Neno alikuwa ni Mungu.

Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa Neno ambaye ni Mungu
Ni kuwa na hakika ya mambo,ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

BTW nimewahi ona,si kwa macho ya nyama...
Vipi,na wewe unatamani uone?
Tengeneza kwanza na MUNGU (personal fellowship)
Unaweza kunaimbia Malaika wapoje wapoje ? Na uliwaonaje pasi na macho ?
 
Unaweza kunaimbia Malaika wapoje wapoje ? Na uliwaonaje pasi na macho ?
Hujanijibu swali langu nililokuuliza
Ukitaka kujua yote tengeneza kwanza ushirika na MUNGU,Roho Mtakatifu atakupa hayo macho ya ndani na utaona.
 
Mie huwa napenda mtu understanding zaidi, pengine ndio maana sipendi kutongoza hovyo. Napenda mtu anaeweza kusoma hisia zangu mapema akanielewa na ndio patners ambao nimedumu nao muda mrefu kuliko ambao niliwatongoza.

It sucks kuanza kumdanganya mtu mzima kwamba she is your everything and bla bla whilst kimsingi unataka companionship tu. Mapenzi yatajijenga taratibu as your know eachother well ila guess what? Huwezi kupata mtu bila kumtia fix flani. Naboeka!!!
Nashangaa eti mtu anamwambia mwenzie kuwa ndiye kila kitu wakati muda huo hawajaanza mahusiano.
Simply namwambia Xxx umenivutia hiki na hiki naomba tuwe partners. Ex wangu mmoja alikuwa anasema mambo ya kuoana sijui watoto wawe na majina gani. Yani nikikumbuka nakasirika ujinga na uongo niliokuwa nasema.
 
Back
Top Bottom