orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,947
- 4,876
Wewe mtoto wakike wewe, usiku unapiga kelele namna io hadi uku nimekuskiaWeraaaaaaaaaaaaaaaaahhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtoto wakike wewe, usiku unapiga kelele namna io hadi uku nimekuskiaWeraaaaaaaaaaaaaaaaahhh
Sawa malkia nitakuwakilishaKule leo siji kabisa
Marahaba boss wanguShkamoo boss
Mzuie Depal atapost ashapost umechelewa[emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]Sipendi kuvaa sidiria [emoji14]
Nikiwa home ndiyo sivai kabisa
Nikitoka nakuwa sina budi kuvaa tu..
Umesema maneno yenye ulaini na uzito kidogo[emoji6]Nini dogo?
Ninajua pa kukupata..dawa yako inachemkaNitaachaje kukuigilizia we we sasa Mkuu wangu
Hakuna shaka mrembo Saint Anne katulia tuliii hana shida mama mchungaji
Nina surprise yako hapaNiambie kijana
Natuma pic yangu Ila usimuoneshe mtuItoe hapa hapa
Ukiifikia hio kumi + utakua na watoto watatu hutaamini 🤣🤣🤣Ongeza 10 hapo
Sawa ukiunganisha nistueNakaribia kuunganisha miili miwili kuwa mmoja...😅😅lazima nipige kelele
Akishanizalia mbegu hana shida.Yap kwa matumizi ya familia anafaa sana...ila ukae kwa tahadhari maana wakicharukaga kidunia dunia 😅😅😅brother hakuna rangi utaacha ona