Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

Ni kitu gani ambacho hupendi kukifanya katika maisha yetu ya kila siku lakini unafanya kwakuwa huna namna

1.ku puu.
2.Kula, natamani tumbo lingekua na zipu unafungua unamwagia chakula unafunga zipu,mdomo ninywee bia tu
3. Kuchangamana na watu, napenda kukaa mwenyewe, mara nyingi majirani wanajua nasafiri kumbe ni kazini then ndani na mute tu....Aisee kingine naombwa sana hela na watu hata wengine siwajui inaniboaga sana.
 
Back
Top Bottom