Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂🤣🤣🤣🤣Sipendi nanihii, yaani sipendi! Basi tu
9.8ms squared[emoji1787]
I know you know how much i love you[emoji6]
Mweee
Mweee
Umbea tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hataiona ng'ooo.
Nimekuona juzi umepita kwenye" wa mwisho ndiye mshindi"
Nikasema asante Mungu ulichungulia kidogo[emoji85][emoji85][emoji85]
Naongezea nyama .... mimi siyotu kwamba sipandi iliyo jana lakini pia huwa sipandi daladala iliyo choka choka bora nisubiri hata nusu saaa ... napenda kupanda hizi wanazita bombadia [emoji23][emoji23]Wewe ni Mimi kusimama kwenye daldala hapana aseeh
Hahaha mbona niliamua tu kunyamazia mabalaa yako
😂😂😂Cheki na huo "wa mwisho ndio mshindi"
Upambee🤣Khantwe huku ni trailer tu
Hahaaaa!!!Naongezea nyama .... mimi siyotu kwamba sipandi iliyo jana lakini pia huwa sipandi daladala iliyo choka choka bora nisubiri hata nusu saaa ... napenda kupanda hizi wanazita bombadia [emoji23][emoji23]
Kwani naonekana kukapenda sana, eti?Wewe huyo au mwingine
MhhYaani mimi maisha tu yananifanya nitembee.
Last week kahoma kalinibana,yaani nimekaa chumbani siku km 4 hivi sijatoka hata sebuleni..halafu nilikuwa naona kawaida,cha ajabu nilipotoka wakawa wananishangaa[emoji23][emoji23]
Ukinioa babe jitahidi kuwa na kila kitu nyumbani.. sipendi kuzurura mie, sipendi stori na watu, napenda kukaa mwenyewe na ikiwezekana Jenga nyumba porini huko tukakae huko