Ni kitu gani ambacho kiliwahi kukutoa ushamba?

Mm nakumbuka simu, da cjui mwaka gani nikaazima simu ili nimpigie mtu, sasa nikaaandika number vizuri sikuweza kujua kama una press wapi nikaweka kunako sikio, basi nimeganda nayo mpka mwenye simu akashangaaa
 
Mara ya kwanza kutumia smart phone, nimetoka dukani nimefika home nimeicharge battery full nimeingia mtaani, mtu wa kwanza ananipigia ninapress green button, kuna kaka aliniona alikuja kunisaidia kufuta na kidole, oohh.
Hahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilienda bank kufungua account sasa nilipokuwa mle ndani kwenye arakati za kujiandikisha na nn muda wa kutoka nakaza kuvuta mlango badala ya kusukuma daaa navuta mpk nakuja kugutuka watu wananishanga daaa kwakweli niliona aibu
 
😀😀

aisee.. Hatari sana
 
Ile milango inayofunguka automatically ilipelekea nikang'oka meno yangu mawili ya mbele!

Sitosahau hata siku moja kwa sababu nilikumbana na aibu kubwa sana na maumivu ya kung'oka meno yangu!
pole sana Mkuu

😀😀:
 
Baada ya kutembelea ukweni na kupiga menyu ya maana na kuvimbiwa mbaya,nikauliza msalani nikaonyeshwa,si nikaingia na kushusha mzigo wa hatare,sasa si unajua tena vyoo vya kizungu vyataka kufrash maji mengi,nmeshamaliza shughuli bhana,si nikavuta ile kamba,maji hola[emoji15] kumbe yamekatika kitaaambo!!ooh balaa hili jamani[emoji30] kucheki kwenye ndoo ,nmenawa yameisha!!asalaalee!!nikatoka nikatafute maji japo nimuombe beki 3 kiasi tu nikafrash!!,ile niko namnong'oneza beki 3,naona shemeji mkubwa(dada mtu) nae anaelekea msalani!!hatareee[emoji125] [emoji125] si akaingia bhana!!pliz sitaki kukumbuka zaid ile aibu!!nini kilifuata?ntarudi[emoji124] [emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…