McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mimi kupokea simu za kawaida hasa namba ngeni
Yaani mtu ni bora anitext tu ila simu ikishapigwa na kuwa na wasiwasi sana
Sipendi kupokea simu kabisa naona text ni bora zaidi maana hazinipi presha na naweza kujibu kwa muda ninaotaka mimi
Nyie ni nini?