Ni kitu gani cha kijinga ulichokifanya uliposhika hela nyingi kwa mara ya kwanza?

Yaani nimecheka,jamii forums never boring
 
Napata shida kidogo kuchangia sababu ukisema hela nyingi, unamaanisha kuanzia shngapi?
 
wabongo bwana ndio maana tuko nyuma, utakuta mtu anazungumza kiswahili halafu anachanganya na kiingereza sjui ndio mtu amesoma sana au ndio mashauzi sielewagii....
 
Mimi mkuu baada ya kupata m 5 nilizokopa banki nilimpa kaka yangu tufanye biashara yeye akenda dubai kununua nguo baada ya kurudi tu akahama nchi akaelekea msumbiji hadi leo sina mawasiliano.naye na hatujaonana ni miaka 3 sasa na deni bado nadaiwa bank.niliumia san
 
wabongo bwana ndio maana tuko nyuma, utakuta mtu anazungumza kiswahili halafu anachanganya na kiingereza sjui ndio mtu amesoma sana au ndio mashauzi sielewagii....
Kama wewe si.mwenyeji humu ni lazima utahoji hayo matumizi ya lugha lakini ukichunguza humu, watu wengi wanatumia lugha za kiswahili na kiingereza na hata Kiswahili chenyewe kinatoholewa sana kiasi kwamba kama si mwenyeji, kuna maneno ambayo hutayaelewa. Sio kujifanya au kujaribu kujionyesha, ni aina fulani ya utamaduni wa JF.
Upo hapo?
 
kupinga maneno yangu sio kosa lako. nakusameh bule.
Kumbe tunapingana? Mimi Nilidhani Tunaeleweshana maana si kila anaepost humu ni mwenyeji anaejua kila kilichomo humu. Isitoshe kuongea kiingereza si ishara ya usomi, tatizo ni mitazamo ya baadhi yetu.
 
wewe jamaa ulistahili tuzo ya "ubazazi".
maana matendo yako yote ukishika hela
akili yote inahamia uko "centre of gravity".

 
nlipata pesa ya transfer kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine daaaaah nlinunua vtu ambvo nlihic vtafanya ndani kwangu kuwe unique 😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…