Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Hamna kitu nachukia kama kujifuta maji na kujipaka mafuta wakati nimetoka kuoga. Huwa natamani nivae nguo tuu.
 
Hamna kitu kinanivuruga kama usingizi,sipendi kusinzia na kulala,mana naona kama napoteza muda wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…