Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

mi sipendi wanawake weupe!
nachefukwa hatari nikiwaona!
 
Kuna wengine tumezoea MC mensuration cycle
Hiyo haipo famous sana kama MP...
Yani ile P kama P sio mchezo....
Mwanamke akisema tu
''mimi sipendi P''
mtu anakuwa ameshaelewa kwamba ile P inawakilisha PERIOD...
So ile P hata ikiwekwa na herufi gani, lazima mawazo yakwanza yatagota kwenye period...
 
Back
Top Bottom