Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Ni kitu gani cha lazima usichokipenda?!

Hiyo haipo famous sana kama MP...
Yani ile P kama P sio mchezo....
Mwanamke akisema tu
''mimi sipendi P''
mtu anakuwa ameshaelewa kwamba ile P inawakilisha PERIOD...
So ile P hata ikiwekwa na herufi gani, lazima mawazo yakwanza yatagota kwenye period...
Mmmh! Unavyoshereheshaaa km nawe ni demu vileee[emoji23]
 
Watu noma et walimfungulia thread apewe tuzo... kwani huku kuna tuzo?[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi zianzishwe sasa ili Jove apewwe
 
Back
Top Bottom