Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huwa natamani kuvaa hata pampers kabisaa [emoji85] [emoji85]Nikuletee kopo Sakayo!? [emoji12][emoji12][emoji12]
Yaani huwa natamani kuvaa hata pampers kabisaa [emoji85] [emoji85]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani huwa natamani kuvaa hata pampers kabisaa [emoji85] [emoji85]
Ohooo...Unahitaji msaada kuvalishwa pampers? Usiwe na hofu nitafumba macho lol!
Pole weeKuoga sipendi
Ivi ni kwanini?Kujamba aibu banaa hasa ukikutoka mbele za watu[emoji23]
ivi akina sanga si ndio wale wanatafta pesa sana kwani wanajuaga kusoma waleKusoma ila basi, cous namtaka demu mkali la cvyo, ohooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona hata hakiumi kile?!Kuchoma kisindano Fulani kwenye kidole wakati wa kupima malaria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] cjuiiiiIvi ni kwanini?
Hapo sasaivi akina sanga si ndio wale wanatafta pesa sana kwani wanajuaga kusoma wale
[emoji15]Basi mm bongo bahati mbaya, karibu Ulaya
HahahaUnahitaji msaada kuvalishwa pampers? Usiwe na hofu nitafumba macho lol!
Nakumiss jeHahaha
Haya bwana, Umenishinda tabia