Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
- Thread starter
- #281
[emoji106]Saafi tunza mparachichi wako, uendelee kupata protein ya parachichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Saafi tunza mparachichi wako, uendelee kupata protein ya parachichi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe watu wengi hawapendi kupiga mswaki!!!!Kupiga mswaki
Ohoooo jitahidi umAlizeeeKusoma
Ndio aje atujibu sasaNimeshangaa
We kama mm yaaniKusuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] polee sasa je ukitapika kabisaa?Kucheua
Huwa nahic kichefuchefu mwenyewe yan
😀We kama mm yaani
Haswa wakati wa kabla ya kwenda kulala[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe watu wengi hawapendi kupiga mswaki!!!!
Hiyo sasa mkuu itakuwa next level....[emoji23] [emoji23] [emoji23] polee sasa je ukitapika kabisaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makuuubwaàHaswa wakati wa kabla ya kwenda kulala
[emoji23] [emoji23]Hiyo sasa mkuu itakuwa next level....
Labda wapo[emoji23]Hivi kuna mtu anapenda kutapika kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini hupendi kujamba?
Kama hupendi kujamba usipende na kula pia