Ni kitu gani cha maana tulichovumbua sisi watu weusi?

Ni kitu gani cha maana tulichovumbua sisi watu weusi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kama kijana ukitaka uimalike kifikra unapaswa uchukie na uwe kando na kile chochote kilicho kuwa na umaarufu katika utamaduni wa watu weusi

■Makalio makubwa
■Kulalamika kila tabu ni kwa sababu ya mzungu
■Uchawa
■Utapeli wa kidini
■Utapeli wa mafanikio ya kiganga
■Kuzaa bila mpangilio
■Kuoa wake wengi bila mpangilio
■Hip Hop ya matusi na sexual
Baikoko ya utupu
■Kufir×na
■Harusi za mbwembwe na gharama
■Ngono nzembe


Screenshot_20260323_122527_Google.jpg


Ok, ni kipi basi cha maana tulichovumbua sisi watu weusi zaidi ya uwezo kumpima demu gesti kwa macho kama ana ngoma au lah.
 
Hapo kwenye kuzaa bila mpangilio nakubaliana nawewe.. halafu watu wana justify. Kwa msemo kwamba kila mtoto anakuja na sahani yake ya Baraka... Nonsense 😕
 
Kama kijana ukitaka uimalike kifikra unapaswa uchukie na uwe kando na kile chochote kilicho kuwa na umaarufu katika utamaduni wa watu weusi

■Makalio makubwa
■Kulalamika kila tabu ni kwa sababu ya mzungu
■Uchawa
■Utapeli wa kidini
■Utapeli wa mafanikio ya kiganga
■Kuzaa bila mpangilio
■Kuoa wake wengi bila mpangilio
■Hip Hop ya matusi na sexual
Baikoko ya utupu
■Kufir×na
■Harusi za mbwembwe na gharama
■Ngono nzembe


View attachment 3561644

Ok, ni kipi basi cha maana tulichovumbua sisi watu weusi zaidi ya uwezo kumpima demu gesti kwa macho kama ana ngoma au lah.
Acha kujidogosha. Hii Internet unayotumia na GPS zimegunduliwa na watu weusi.
 
Hakuna tulichogundua,... sisi wenyewe na bara letu tuligunduliwa na mtaalamu henry the navigator
 
Back
Top Bottom