Ni kitu gani 'EX' wako alisema kuhusu wewe mlivyoachana na kilikufedhehesha?

Bichwa uchwara
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na Miss Neddy humu humu JF...

Hilo penzi lilikua na vibe sana back then sijui ilikua 2018😭😭

Hii pisi ya kisukuma nilipaswa kuiweka ndani basi tu.

Baadae tuliachana, nakumbuka hajawahi kunitolea neno lolote baya

live long neddy
 
It was a hell waligombana sana, sema dogo ana roho ngumu zaidi ya osama ningekuwa jela na miaka 30 juu, walimpiga nusra afe anaambiwa anitaje. Alivyoona kipigo kimezidi akatoroka akaja geto, hakuna aliyekuwa anapajua
Du wanampiga akutaje unapoishi siyo? So umemuoa?
 
Alikua anakwambia ameridhika coz ulikua unamchosha tu. Nani amekwambia kutwanga twanga ndio kumridhisha.😏
Btw Sijakua na Ex, no Story
Mwanang umenifikirisha sana.
Mi mwenyew mpenzi wangu huwa ananiambiaga ameridhika ila sijawahi kumwamini, na plus maneno uliyosema inawezekana sijawahi kumridhisha na hadi sasa ananivumilia tuu.
 
Mimi nilikuwa na mmoja wakat nipo nae kumbe anamtu wake mwengine tukawa tunagombana sanaa hakunambia chchte ila akabadili namba kimya kimya akaendelea na mtu wake nikaona fresh umeniwahi tu siku za mbele akaja nitafuta mwenyewe anataka tena wakati yeye ndiyo alifanya maamuzi kusepa mpaka kubadili ila wanawake aisee
 
Mwanang umenifikirisha sana.
Mi mwenyew mpenzi wangu huwa ananiambiaga ameridhika ila sijawahi kumwamini, na plus maneno uliyosema inawezekana sijawahi kumridhisha na hadi sasa ananivumilia tuu.
Kunawanawake wamepinda kiukweli suala la faragha siwez kulisema hadharani hata iweje hata tuachane vipi heshima ni muhimu sana
 
Mimi Ni wiki tuu iliyopita ameniambia kuwa "nina chuma iliyopinda" halafu pia akaniambia kuwa " Mimi Ni mweusi mpka matak.ni" duhh ndo maneno ya yule single mother na akadai karudi kwa ex wake.nikamwambia arudi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…