Nchi inaongozwa na WAHUNI ,ndiyo tatizo la kuwa na KATIBA mbovu na hata Nyerere alishwahi kusema hii katiba akija kutokea kiongozi kichaa na kuitumia vibaya ataumiza waTZ maana katiba imempa nguvu kubwa sana Rais."Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.
Sasa kumeundwa "Tume Huru" nyingine ya kuchunguza mambo ambayo kila mtu mwenye akili timamu anajuwa sababu zake na matukio yaliyo ambatana na sababu hizo.
Kwa nini pawepo na matarajio tofauti na yale ya "Tume Huru" iliyo bariki chanzo cha haya matukio yatakayo chunguzwa na hii tume mpya iliyoundwa?
Ni kitu gani hasa kinachofanya hizi tume ziitwe "Tume Huru"? Uhuru wake ni upi hasa?
Kwa nini Samia Suluhu Hassan anapenda sana ulaghai na kejeli za aina hii? Huwa haoni kuwa waTanzania wanajuwa maana ya "Tume Huru" ni kitu gani?
Uhuru wake ni ile hali ya kujifanyia zitakavyo kwa uhuru kwa kukanyaga haki na uhuru wa wengine huku zikiwa huru kuwatetea walioziunda kwa uhuru wa kuvurunga uhuru wa wengine."Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.
Sasa kumeundwa "Tume Huru" nyingine ya kuchunguza mambo ambayo kila mtu mwenye akili timamu anajuwa sababu zake na matukio yaliyo ambatana na sababu hizo.
Kwa nini pawepo na matarajio tofauti na yale ya "Tume Huru" iliyo bariki chanzo cha haya matukio yatakayo chunguzwa na hii tume mpya iliyoundwa?
Ni kitu gani hasa kinachofanya hizi tume ziitwe "Tume Huru"? Uhuru wake ni upi hasa?
Kwa nini Samia Suluhu Hassan anapenda sana ulaghai na kejeli za aina hii? Huwa haoni kuwa waTanzania wanajuwa maana ya "Tume Huru" ni kitu gani?
"Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.
Sasa kumeundwa "Tume Huru" nyingine ya kuchunguza mambo ambayo kila mtu mwenye akili timamu anajuwa sababu zake na matukio yaliyo ambatana na sababu hizo.
Kwa nini pawepo na matarajio tofauti na yale ya "Tume Huru" iliyo bariki chanzo cha haya matukio yatakayo chunguzwa na hii tume mpya iliyoundwa?
Ni kitu gani hasa kinachofanya hizi tume ziitwe "Tume Huru"? Uhuru wake ni upi hasa?
Kwa nini Samia Suluhu Hassan anapenda sana ulaghai na kejeli za aina hii? Huwa haoni kuwa waTanzania wanajuwa maana ya "Tume Huru" ni kitu gani?
View attachment 3505102"Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.

Ni jina lake mkuu, tume huru ya uchaguzi badala ya tume ya uchaguzi. Muundo wa jina ndio unafanya ziitwe hivyo. Zaidi ya hilo, hakuna kingineNi kitu gani hasa kinachofanya hizi tume ziitwe "Tume Huru"? Uhuru wake ni upi hasa?
Jambo linalo sikitisha hasa ni kuwahusisha hao watu (wastaafu), baadhi yao wamejijengea heshima katika jamii; kama huyo Mwenyekiti wa hiyo tume katika uchunguzi wa jambo ambalo inajulikana wazi tatizo lilipo anzia.Mjinga siku zote huwa ana jaribu kuhalalisha upuuzi wake, ana sahau kuwa hata viziwi kuna muda wana sikia.
alicho kifanya ni kuachia ushuzi halafu ana lazimisha kuziba watu masikio kwa kigezo wasi sikie harufu.
#hakuna maridhiano na wahuni.
"Muundo wa jina"?Ni jina lake mkuu, tume huru ya uchaguzi badala ya tume ya uchaguzi. Muundo wa jina ndio unafanya ziitwe hivyo. Zaidi ya hilo, hakuna kingine
Neno "HURU" huongezwa ku laghai umma."Muundo wa jina"?
Ikiitwa "Tume ya uchunguzi isiyo huru", pia tunaweza kusema ni jina halali kutokana na "muundo wa jina"?
Nimejitahidi sana kuelewa ulicho lenga kueleza bila ya mafanikio yoyote.
Samia anapenda sana lugha za namna hii, kwa sababu hana lolote la maana ambalo huwa analenga kulieleza kwa wananchi.

Njaa, kujikomba au uoga wa kudogoshwa ndio kuna waponza, huenda she's offering a heavy amount au wanna lipa favor.Jambo linalo sikitisha hasa ni kuwahusisha hao watu (wastaafu), baadhi yao wamejijengea heshima katika jamii; kama huyo Mwenyekiti wa hiyo tume katika uchunguzi wa jambo ambalo inajulikana wazi tatizo lilipo anzia.
Sasa atawalazimisha hawa watu wafanye kazi ya kusafisha uchafu ambao hauwezi kusafishika
Hivi watu kwa nini hujiruhusu kutumiwa hata katika mambo ya kipuuzi yanayochafua majina n a sifa za kazi zao maisha yao yote?
Kwani mtu akikataa kutumika kwenye uchafu kama huu, kuna atakacho pungukiwa?
Na mimi nimeliona hilo. Kulikuwa na Tume ya Uchaguzi. Mara jina likabadilishwa kuwa Tume Huru ya Uchaguzi, bila kuwepo mabadiliko kwenye muundo wa utendaji. Hii itakuwa kuwapumbaza tu wananchi."Tume Huru ya uchaguzi imemaliza kazi yake siku chache tu zilizopita na matokeo yake tumeyaona.