Ni kitu gani hata uwe una hela Kiasi gani huwezi kununua?

Mwanamke anaejiuza,sinunui
 
Niwe na pesa nisiwe nayo siwezi kununua malaya wanaojiuza barabarani au mitandaoni.

Siwezi kwenda casino hata iweje.

Siwezi nunua kitimoto hata niwe na shingapi.
 
Huwa nashangaa sana mtu anasema amenunua wigi la millioni saba. I know I love expensive things lakini there is no way siku nikiwa na mamilioni ya hela nikanunua wigi la millioni 7 au 15.
No way 😤
Wakati mwingine wanadanganya. Mtu ananunua wigi ambalo siyo common sana hata kwa lakini tano anakuja kukuza bei. Usisadiki sana unayosoma kwa hawa ma-slay queen wa Insta. Huko hakuna maskini.
 
Nywele nzuri ina raha yake..
Mimi nikizishika nitanunua tu.
Kuna confidence fulani inaongezeka ni kama vile tu kuendesha gari kali, kuwa na viatu vizuri na kunukia vizuri.
 
Siwez kununua NDOGO hata niwe pesa kiasi gani.
 
Kumjengea manzi nyumba, aisee hapana

Naweza kumpa hata mil 5 lakin sio kumjengea
 
Siwezi nunua
1-wigi linalozidi 2m+, nilinunuaga moja la 1.8M hata sikuona cha kufanya nikalipia hivo, au ule unatural na uraini wake? no.

2. mkorogo- over my dead body[emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…