Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Ni kitu gani hujawahi kufanya?

Sijawahi kufanya skydiving, yaani ile kuruka kutoka kwenye ndege na kuelea angani kwa dk kadhaa alafu unafungua parachute. na vilevile kuna mchezo wa ice skiing na water skiing hiyo nao lazima nicheze kabla sijafa.

Lakini nitafanya kila njia kabla sijafa nahakikisha lazima niwe nimeshafanya skydiving ni moja ya my favorite sports.
 
Back
Top Bottom