Tunapo sema mzazi kumpa mtoto wake mali/mtaji, wewe unaitafsiri vipi??Ukimuambia kijana atafute Mali zake bila kumuandalia mifumo sahihi ya yeye kufanikiwa huo ndo Mwanzo wa Matatizo
Kama mzazi unabidi kumpatia mtoto Mali za yeye Kuanzia Maisha .
Unapozaa mtoto Hilo ni jukumu lako la kuhakikisha unampa Maisha Bora ikiwemo kumpa Mali na mtaji na Elimu Bora yenye future
Kama unaona hauna Cha kumpa au kuwapa watoto wako usijiaumbue kuzaa maana watoto watateseka Bure. Na watakuua au kukuombea kifo.
Dunia ya leo sio kuzaa mtoto bila mipangilio maana kuwa na watoto wengi masikini wanaofanya Kazi za kitumwa za kulipwa ujira Mdogo viwandani na ukuli Mtu wa hivi atakuua au kukuombea kifo
Umpe mtoto Mali aanzie maisha kwa mipango ipi?Ukimuambia kijana atafute Mali zake bila kumuandalia mifumo sahihi ya yeye kufanikiwa huo ndo Mwanzo wa Matatizo
Kama mzazi unabidi kumpatia mtoto Mali za yeye Kuanzia Maisha .
Unapozaa mtoto Hilo ni jukumu lako la kuhakikisha unampa Maisha Bora ikiwemo kumpa Mali na mtaji na Elimu Bora yenye future
Kama unaona hauna Cha kumpa au kuwapa watoto wako usijiaumbue kuzaa maana watoto watateseka Bure. Na watakuua au kukuombea kifo.
Dunia ya leo sio kuzaa mtoto bila mipangilio maana kuwa na watoto wengi masikini wanaofanya Kazi za kitumwa za kulipwa ujira Mdogo viwandani na ukuli Mtu wa hivi atakuua au kukuombea kifo
Atafute Mali zake,,Tunapo sema mzazi kumpa mtoto wake mali/mtaji, wewe unaitafsiri vipi??
Ndo maana mnauliwa na watoto wenu ,kwanini unazaa mtoto na hauna Mali za kumpa ? Ubinafsi ni hatari Sana kwa ustawi wa jamiiAtafute Mali zake,,
.kitendo cha kumpa sehem ya pesa akaanzishe biashara ni kuzidi kujitafutia matatizo,
Kumbuka pesa yeyote usiyoitolea jasho huna uchungu nayo.
Nimeona watu wamepewa pesa kibao na wazazi wao wafanye maisha,
Wameishia kuhonga pesa zote na bado anarudi kwa baba kulialia apewe zingine,,
Dawa akatafute za kwake.
Kama mzazi uliweza ukatafuta zako Bila msaada wa baba yako kwann yeye asiweze tafuta?
Akatafute wapi then hii issue ya watu kuua wazazi hipo kwa wazazi wenye mitazamo Kama yako unapomwambia kijana akatafute Mali zake bila kumpa Elimu Bora na mtaji unadhani anatoboaje ebu waangalie vijana wa uswahilini !Umpe mtoto Mali aanzie maisha kwa mipango ipi?
Mtoto atafute za kwake..
Nakuhakikishia ukiwa na mentality ya namna hii kwa mtoto/watoto wako utaumia mnooo, wazazi wanawajibika kuwalea watoto vizuri, kuwapa elimu nzuri na kufundisha kujitegemea, sio kwaandalia "utajiri"Ukimuambia kijana atafute Mali zake bila kumuandalia mifumo sahihi ya yeye kufanikiwa huo ndo Mwanzo wa Matatizo