Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Najua wengi wamepitia secondary Kw namna moja ama nyingine umepitia au umefanya mambo.ambayo.ukikumbuka Huw unacheka au unasikitika
Tulikua tunapigwa sana shule haswa kuchelewa assembly au kuingia darasani
Nilikua napigwa sana kwa uchelewaji nilikua nalala sana mpaka saa 2 coz nilikataa shule ya boarding nikapelekwa ya day acha tu
Nilikua Napigwa Kw kuchelewa sana coz nilikua nadekezwa sana hom asubuhi siendi shule mpaka house girl aninyooshee nguo mala kupikiwa chai yaani ni karaha tu
Nikikumbuka kupigwa huwa nakasilika sana
Nilikua na mdomo sana shuleni nilikua na majibu ya "shombo" kwa waalim tena live waalim wakaanza kuniogopa sana haswa kunisemesha hovyo hadharani
Kuna mwlm mmoja wa kiume hivi alikua na kiherehere sana siku hiyo niliitwa staff kwa kosa la kuja na smartphone darasani nikaambiwa nimeonekana nikiongea na cm nikatimua bhas bwana Nikaulizwa pale yeye akawa ananiuliza maswali ya ajabu nilimjibu kejeli sana akaniuliza "ulikua unazungumza na nani kwenye cm nilivyokuona ukakimbia? nikamjib kwa ujasiri sana "ulitaka niongee na ww au utanambia nini? bhas akapandwa na hasira sana akaanza kunichapa nikamkanyaga suruali yake nikamchafua nikamnyari na msonyo Wa hatari nikakimbia nikapewa adhabu ya siku 14 nyumbani halafu nije na mzazi bhas zikaisha nikarudi shule ila nikawa na tabia za matuc na maneno machafu
shuleni nikawa najifanya sijui ndo km handsome wa shule
Kiufupi nilikua nimekubuhu kwa tabia mbaya shule nilikua na majibu sana mwlm ananiuliza jambo namjib Kuw akamuulize alomwambia
Walim wengine wakaanza kunishobokea acha tu
Mambo ya ustar kujifanya star shule kisa dingi.ana vihela nilikua najua kuwaumiza roho.acha tu yaani,
Nakuja shule saa mbili asubu ikifika mchana saa 7 nipo zang kariakoo, magomeni siku ingine tulikua tunatoroka tunaenda mpaka bagamoyo huko kula bata tu nyumbani narudi saa kumi na mbili.
Shuleni nakuja na pombe, simu.naweka kwenye mabeg tukikaguliwa naficha kwenye madampo na maua, nakumbuka mpaka nilikua nachukua mpaka wine naenda nazo shule full uhuni
Stori zangu za shule ni majanga tu
Nimeona nishare na ninyi wenzangu tucheke Wotem
Sorry kwa mwandiko mbaya
Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app