Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Kuna sababu nyingi zinazowafanya watu kutoka nje ya ndoa zao. Moja ya sababu ni kutoridhishwa na mwenza katika kufanya tendo la ndoa. Hali hii hutokea pale wanandoa wanaposhindwa kuwa wazi kwa maana ya unataka ufanyiwe nini mnapokuwa faragha. Sababu nyingine ni kutojaliana (caring).Jambo hili hutokea wanandoa wanaposhidwa kujali mambo ambayo pengine tunafikiri ni madogomadogo kwa mfano kupeana pole au hongera kwa kutenda/kutotenda jambo fulani.Hivyo tunashauriwa kuwa wazi na pia kuendelea kujifunza zaidi kuhusu mahusiano.
 
Necha haichagui hommie lol

Mi nadumisha mila bana...kisha nazingatia necha...
 
Hahahahahahahah lol
Haya babu nakubaliana
Na weye kidoncho tuuu
Jekama kweli umemweleza huyo
binti mdogo ukweli kwamba una mke
unadhani ye atakubali kuwa second hand clothes?

Dahhh leo nisamehe bure..

AD mwache babu alale kidogo jamani njoo tuongee sisi
 
Necha haichagui hommie lol

Mi nadumisha mila bana...kisha nazingatia necha...
Hilo nalitambua, mi huwa sibishani na wewe kwa kuwa wewe ni wa mambo hadharani wakati mie nazuga hadharani...

AD mwache babu alale kidogo jamani njoo tuongee sisi
Hapo hommie uko kikazi au kimaslahi zaidi?
 
Daaahh
Haya babu na
Wife anajua kuhusu hili
au hii ndo ile piga uwa sisemi..

Nway Leo nimekusumbua sana
kesho saa nane mchana fika pale
chini ya new mmbuyu nime book massage
kwa wale waThailand..halafu ugoro ntaokupa kesho
haujatoka China .
ok babu you sleep tight and sweet dreams..
 
Hahahaha...zinasisimka with au without?

both with and without....ukiwa na without, msisimko unakuwa ni fast track, ukiwa with, aste aste...

habari yako bana...
 
Unaharibu sasa.....necha hairuhusu ugomvi, kwahiyo waifu hapaswi kumjua msaidizi wake ila msaidizi anapaswa kumjua bosi wake.......

Kesho mbona mbali....ukimalizana na Kaizer uje huku mtaa wa pili, utanikuta na mkongojo wangu.
 
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 
Kwa wanaume: Hawakuumbwa kuwa na mwanmke mmoja...huwezi kupingana na necha.

Kwa wanawake wenye tabia hiyo: Umalaya, mwanamke anapaswa awe na mwanaume mmoja tu.

Narudi kitandani.

wewe unao wangapi?...ni matabia mabaya tu ya mtu na kujiendekeza+ matamaa, mie nashangaaga unakuta mtu ana mke/gfnd mzuri tu but haridhiki, wanaume viumbe wa ajabu sana sana.
 
wewe unao wangapi?...ni matabia mabaya tu ya mtu na kujiendekeza+ matamaa, mie nashangaaga unakuta mtu ana mke/gfnd mzuri tu but haridhiki, wanaume viumbe wa ajabu sana sana.

Mnoko kashaingia ngoja nisepe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…