dfreym
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 342
- 87
Hivi kwanini kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wana wapenzi zaidi ya mmoja? na hata km hana ila amekuwa akitoka nje ya mahusiano yake? Hope hata nikiuliza nani amekuwa na mpenzi mmoja tangu awe na mahusiano utakuta ni wachache, tatizo nini hasa?? Inawezekana au ngumu?
Sidhani saana kama ni zaidi ya 80% , ila sababu ni nyingi,ila zaidi ni TAMAA, KUTOKURIDHIKA, KUTOKUWA MVUMILIVU nk .