Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Acha umalaya utazunguka bucha zote lkn nyama ni ile ile (zote zinatoa damu na ni nyekundu) sitaki maswali ktk hili

Inaelekea wewe pia unatatizo kama langu weka wazi tupewe ushauri....mmhhh umejuaje?
 
Acha tamaa na jifunze kuuendesha matamanio yako badala ya kuyaacha yenyewe ndo yakuendeshe!!Kua na msururu wa wanawake sio sifa ni kutafuta magonjwa!

Sidhani kama ni tamaa nafikiri kuna kitu zaidi ya hapo!
 
Speaker nashukuru pia kwa kunipa nguvu kweli nimeamini kwenye msafara wa Mamba na Kenge wamo na ndo ivo nilivo ona hapa kuna wadau wanaichukulia hii hali yangu kama najitakia na wameniukumu kwa mie kuwa muwazi na nimeamua kuweka mambo hadharani nikijua JF kuna watu wanafikiri na watanipa ushauri. Big up Speaker!

ukishindwa kuwa huyu doctor basi jibu lako liko kwa Yesu peke yake,....wahi haraka sana
 
Tanzania ikiwa na watu 100 kama wewe,tutaendelea sana!
Wengine walikua wamesha anza kusema "umalaya" duh,...ndo maana watu wanakufa kimya kimya
coz wakisema wataambiwa vingine!

100 wa kazi gani? Nadhani hata 10 tu!! Asante
 
hongera kwa kuwa muwazi.jaribu kufanya mazoezi,inasaidia.na kama wewe ni mkristo,ukijisikia kutamani,chukua biblia yako soma.ila kama wewe ni muislamu,chukua msahafu soma.inasaidia.au kama ni mtu wa kufunga,mara moja moja funga.
 
100 wa kazi gani? Nadhani hata 10 tu!! Asante

Nafikiri ndo maana hatuendelei kabisa kwa kuchukulia mambo mzaa mzaa tu! mtu akikosea kiingereza watu wanamsodoa ohoo kavunja ohoo anaongea broken english. Hii imepelekea watu kuogopa kuweka mambo hadharani. Kumbe tukiwa na watu kumi tu ambao wanaweza kuwaeleawa watu wanaitaji nini tungesonga mbele. Nashukuru mdau!
 
hongera kwa kuwa muwazi.jaribu kufanya mazoezi,inasaidia.na kama wewe ni mkristo,ukijisikia kutamani,chukua biblia yako soma.ila kama wewe ni muislamu,chukua msahafu soma.inasaidia.au kama ni mtu wa kufunga,mara moja moja funga.

Kisukari nashukuru sana sana ntafuatilia, mie ni mkristu so nitatumia biblia.
 
Ajabu ya watz mtu anakuja na shida badala mmsaidie ama hujui kaa kimya mara ooh utakufa ,acha umalaya wewe kwani msafi?!!!
 
Ngd pamoja ushuri unaoendelea kupata kutoka jamvini pai ungejaribu kupata counselling kutoka VCT wale jamaa pia wanaushauri na njia nyingine mbadala za jinsi ya kubadili altitude na vitu kadha wa kadha.
 
Mkuu
Inamaana umesha ridhika kuwa na mpenzi 1 maana nasikia unataka kutoa posa au unatupotezea muda na hii thread???:israel:
 
Hivi kwanini kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wana wapenzi zaidi ya mmoja? na hata km hana ila amekuwa akitoka nje ya mahusiano yake? Hope hata nikiuliza nani amekuwa na mpenzi mmoja tangu awe na mahusiano utakuta ni wachache, tatizo nini hasa?? Inawezekana au ngumu?
 
Watu ambao wanawapenzi zaidi ya mmoja ndio wanataka uamini kua ni kitu cha kawaida sababu wengi wanafanya hivo ila mimi sidhani kama ni 80%. we hiyo figure umeitoa wapi?
 
Inawezekana kabisa na ni rahisi kuwa na mpenzi mmoja. Ukitokea mpishano, mnamwagana unatafuta mwingine; hakuna haja ya kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
 
Ya kwanini usiweze kuwa ana mpenzi mmoja-kila kitu ni kujitahidi na kuweka kinaa....
 
Back
Top Bottom