Pole sana kwa tatizo lako.
watanzania tumekua tukichukulia kila kitu kua ni simpo na mtu anaamua kufanya na anaweza kuacha. in fact kuna mambo ambayo ni more psychological lakini watu wanaona mtu anafanya makusudi. mambo hayo ni kama uhuni uliokithiri, kukojoa kitandani, kunywa pombe au kuvuta sigara kupitiliza, kushindwa kudumu katika mahusiano, na mengine mengi. Hiyo ni imani potofu na imesababishwa na sisi kutojua kitu kinachoitwa Psychological disorders/ problems. Ninachoweza kukushauri kaka ni kutafuta msaada kwani tatizo lako laweza kua linasababishwa na unconscious mind yako genetically kwa hormones, sexual abuse, traumatic experience, au faulty ya cognition. kwa msaada tuandikie,
psychologicalsupport@hotmail.com