Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Ni kitu gani hutufanya tuwe na mpenzi zaidi ya mmoja?

Hivi kwanini kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wana wapenzi zaidi ya mmoja? na hata km hana ila amekuwa akitoka nje ya mahusiano yake? Hope hata nikiuliza nani amekuwa na mpenzi mmoja tangu awe na mahusiano utakuta ni wachache, tatizo nini hasa?? Inawezekana au ngumu?

Sidhani saana kama ni zaidi ya 80% , ila sababu ni nyingi,ila zaidi ni TAMAA, KUTOKURIDHIKA, KUTOKUWA MVUMILIVU nk .
 
sina uhakikia huo utafiti wako umeufanyia wapi lakini me siamini kuwa ni lazima mtu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, tena penzi linanoga unapokuwa na mpenzi mmoja tu. kupenda zaidi ya mmoja ni uwongo, penzi latoka moyoni na moyo ni mmoja utawezeje kupenda zaidi ya mmoja?
 
Wenye mpenzi zaidi ya m1 ni tamaa tu za mwili na sio kwamba ana mapenzi ya dhati kwa wote
 
Mtoa mada umejuaje?au wewe ndo una mpenzi zaidi ya mmoja???
 
kuna sababu nyingi, inaweza kuwa ni tamaa ya mwili ama pesa, kujaribu kwingine kupoje, kulipiza kisasi na kwa sababu ya kuiga kwa sbabu fulani anafanya basi na mimi nikifanya ni kawaida tu.
 
Naomba nisahihishe - Asilimia 95 ya wanaume na Asilimia 85 ya wanawake wana wapenzi zaidi ya mmoja...

Source/Utafiti: Baba_Enock

Kwanini? Jibu linaweza kufikia kurasa 50!
 
Hivi kwanini kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wana wapenzi zaidi ya mmoja? na hata km hana ila amekuwa akitoka nje ya mahusiano yake? Hope hata nikiuliza nani amekuwa na mpenzi mmoja tangu awe na mahusiano utakuta ni wachache, tatizo nini hasa?? Inawezekana au ngumu?

mkuu hapo kwenye aslimia, unamaanisha kila watu 10, watu 8 sio waaminifu?
HAPO UMETIA CHUMVI,,,Utafiti wako si wa kuamninka kabisa.
 
Aise mangi akiwa mzazi au amesafiri je utapiga punyeto? tafuta wakubadilisha ladha! u know u cant eat ze same food always!
 
Back
Top Bottom