compressor
Member
- Nov 26, 2009
- 76
- 0
he he he he!wewe bana,HAYA
mwenzi wangu hawezi kutumua hizi urinals za wanaume yaani mpaka ajifungie c****i.. sijui ni haya ama???😛
Currently Active Users Viewing This Thread: 20 (12 members and 8 guests) Bebeku, BornTown, carmel+, chimunguru, compressor, FirstLady1, George_Porjie, Kisusi Mohammed, Monicam,
Si unaona! Wamejaa tele hapa!
hata kama hataki jeans mbona kashinda kabisa!!!! mie vijinight dress hata sivai!!!! ahahahhahahha hata kama hakuna mechi!
exactly!
LEO NI hatari tupu
nguli naona anatoa senksi tu
He! Vipi kabamia au kisiki cha mpingo? Au hajakatwa ile kitu? LOL! Hahaha!
hapa bwashee umeua!TUNAWASOMA KI HIVYO HIVYO!maektra jiniasi wapwaHahaha! Leo wapwa mnachangia kimtindo! Lakini tunawaelewa hivyohivyo mnamaanisha nini! LOL! Bwashee angekuwa karibu hapa ningemtwanga taska 4 za baridi for this useful sredi.
Hahahahaha....
Hii kali haya na chumbani huwa mnazima taa usikaone au inakuwaje!!
Wandugu!
Nimeshawishika kuuliza hili,kwasababu ninaamini kila mtu mwenye mwandani wake(bila kujali ni HE/SHE) naamini kuna kitu kimoja au viwili HUWA HAELEWI ELEWI/KINAMSHANGAZA/KINAMTATIZA/KIPO UNIQUE SAANA kwa level ya upeo wake
STARTING WITH GEOFF ME:i don't understand my love because EVERYTIME WE NEED TO MAKE LOVE I MUST ASK!yeye hajawahi kuniambia kwamba she needs to make love!lakini wakati wa love making SHE IS SO CORPERATIVE!mkimaliza hata atashukuru.kesho yake ofisini lazima atakutext ''...meen,you did it well!''....!
mimi tatizo langu ni kwanini ni lazima mimi nimwambie!kwanini yeye asiseme?na nikimwambia at first lazima atakataa kataa kwa kuzuga!...
NAOMBA WADAU,kila mmoja kwa nafasi yake na mahusiano aliyonayo aseme NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?
hahahaaaa, mpwa nimekugongea, thibitisha hapa hapa:sikumbuki mara ya mwisho kulala na wife huku nimevaa nguo ilikuwa lini. Ni kama nilivozaliwa, iwe mchana au usiku! Storongo nayo huwa inahitaji oksijeni bana. Fresh air kwa ajili ya kuboresha pafomensi. Hapa ntakula senksi, i know!
Yawezekana ni muoga na anashindwa jinsi ya kukuanza au ww uko siriazi sana huwa huna mazoea ya kutaniana ( kuchezacheza nae) na kama shughuli anaimudu na anapenda jaribu kuwa karibu zaidi ya hapo mlipo huenda atakuanza nae sikumoja.
Ila wangua akikasirika huwa anaweka mito kati tusigusane
wala mambo yako shwari kabisa ...ningekuwa nilimtosa ahahahhahahha...basi tu ni haya....
yaani wacha kunichekesha we.... eti nisikaone.....sio 'ka' ni 'ji'
teh teh teh teh .ni vyema aendelea kufanya hivyo afanyavyo,ni sehemu katika mafundisho ya dini hivyo anavyofanya,ni vyemayaani wacha kunichekesha we.... eti nisikaone.....sio 'ka' ni 'ji'