Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 42
Si unaona? Leo tutajua kila kitu chenu japokuwa kinakuja indirectly. Shwari manake si kabamia wala kisiki cha mpingo, siyo? Fifty fifty siyo? LOL!
mmmmm kumbe????? wacha niuchune sasa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona? Leo tutajua kila kitu chenu japokuwa kinakuja indirectly. Shwari manake si kabamia wala kisiki cha mpingo, siyo? Fifty fifty siyo? LOL!
Kuna siku niliopoa dada mmoja kumbe nikikojozi dah si akanilazimisha nivue nguo zote nikalala naked na sio kawaida yangu naogopa popobawa au kuvamiwa usiku si mnajua tena yule dada alipojikojolea akanisogeza mm upande alipo lala yeye alafu yeye akahamia kukavu dah mm usiku kushtuka nikaona eheeeeee mambo yameharibika uliza nn kilichotea hapo....
Nini kilitokea???
Hahahaha mzee aibu kumuuliza akasema mm nimejikojolea
hayo mambo ni saikolojia tu. akina mama wanaomba sana tu.
niwape mfano mmoja,
kuna jamaa yangu mmoja mkewe alikuwa jeuri sana hadi akampiga talaka. kwa sababu ya mtoto, jama hakumwondoa nyumbani mara moja bali alimtegea aondoke mwenyewe kwa hiyari yake na wakati wote alimpa mtaumizi kamili bila kukosa. haukupita muda yule bwana alimhurumia kwa kumwona hana raha, akamhakikishia kuwa kama hataondoka kwa hiyari yake, kamwe yeye hatamfukuzza na kumtaka aondoe mawazo, waheshimiane na kulea mtoto wao mpendwa. mama akaanza kupata amani moyoni, mume akajiona hana tena uhalali na wife kwani alishamkana. akapata nyumba ndogo, na wife akabaki kulea mtoto tu. yalipomshinda wife aliomba na anaendelea kuomba kila anapotaka na sasa ni mwaka wa pili na majuzi wamebarikiwa mtoto mwingine! wanmpenda na kumlea kwa furaha.
wasipokuambia habari yao, kamwe huwezi kujua kuwa wana talaka mikononi mwaao.
mpo hapo wana JF? ndoa zina mambo!!!!!!!!!
hii stori imekaa kama mchezo wa kihindi.hayo mambo ni saikolojia tu. akina mama wanaomba sana tu.

hii stori imekaa kama mchezo wa kihindi.
wala si mchezo wa kihindi au wowote mwingine wa kuigiza, ni kweli na ilitokea.
binafsi nawafahamu kwa karibu sana hata harusu yao niliwachangia na kuhudhuria, ilikuwa april 2006!
binadamu tumetofautiana sana. kwa kuwa hunishirikisha matatizo yao kwa ushauri, nilidiriki kumweleza mwanaume kuwa akimwacha huyo mama hataujakupata mwanamke bora zaidi ya huyo. naye sasa anaapa kutomwacha labda aondoke mwenyewe, hayo yote tisa, kumi anaapa kuwa ataendelea kuzaa nae hadi mwisho wa hesabu! na mama yuko tayari!
NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?----mapaja yake tu, am always dying there jamani, i cant explain, i dont think kama kuna siku nitakinai kushangaa haya mapaja+
Mmh...haumshambulii kuhusu size yake kweli?mwenzi wangu hawezi kutumua hizi urinals za wanaume yaani mpaka ajifungie c****i.. sijui ni haya ama???😛
Jamani Shishi unataka nianike mapaja ya mwandani wangu yalivyo wapwa waanze kupiga chabo hapa. Aka! I cant explain more isije ikawa laaazizi wangu ni JF guest baadae nikakuta skin tight mpaka kwenye unyao. Mwe!Details please, mapaja yana nini????? leo kazi ipo kweli hata haijaanza!!!!!
Mmh...haumshambulii kuhusu size yake kweli?
teh teh teh mchezo wenyewe unaitwa "kes ke mohabbat dunia jayenge" starring Aditya Panchorihii stori imekaa kama mchezo wa kihindi.
Jamani Shishi unataka nianike mapaja ya mwandani wangu yalivyo wapwa waanze kupiga chabo hapa. Aka! I cant explain more isije ikawa laaazizi wangu ni JF guest baadae nikakuta skin tight mpaka kwenye unyao. Mwe!