Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

Ni kitu gani huwezi kulala bila kukifanya au ni kitu gani hukisahau uwapo safarini?

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Kila mtu ana kitu ambacho ni muhimu kwake kabla ya kulala na baada, au awapo safarini, sasa leo niambie ni nini ambacho usipokifanya huwezi kulala au kuondoka home asubuhi baada ya kuamka?

Binafsi siwezi kulala bila kupiga mswaki na ndiyo maana meno yangu ni meupe peee, yaani bora nisioge ila sio kulala bila kusafisha kinywa na hata nikiwa safari basi mswaki huwa siusahau kabisa.

Niambie na wewe tuweze kushare idea hapa jamvini.
 
Aisee mimi siwezi kulala bila kupiga kiroba, hata wife anajua hilo.
 
Back
Top Bottom