Ni kitu gani katika mwili wa binadam kinatofautisha kwamba huyu ni mwana mume au mwana mke

Ni kitu gani katika mwili wa binadam kinatofautisha kwamba huyu ni mwana mume au mwana mke

mwanaume na mwanamke utofauti wa msingi upo kwenye jinsia, hata hivyo bado tunafanana kwa vitu vingi kama macho, mikono , miguu, kifua n.k tunafanana kwasababu sisi sote ni binadamu sawa ila jinsia tofauti, kwahiyo hoja ya manyonyo ni negative sana kwanini hujaulizia macho, pua, masikio n.k kwa kifupi binadamu tuna tofautiana kwa jinsia tu na huu ndio utofauti wetu.
 
mwanaume na mwanamke utofauti wa msingi upo kwenye jinsia, hata hivyo bado tunafanana kwa vitu vingi kama macho, mikono , miguu, kifua n.k tunafanana kwasababu sisi sote ni binadamu sawa ila jinsia tofauti, kwahiyo hoja ya manyonyo ni negative sana kwanini hujaulizia macho(mmh hujanielewa) pua, masikio n.k kwa kifupi binadamu tuna tofautiana kwa jinsia(jinsia ndo nini) tu na huu ndio utofauti wetu.
 
Swali limejieleza hapo juu! Katika tittle..
×××
Mimi mpaka leo sijui kwanini wanaume wana matiti
Na wewe ni degree holder??😀😀😀

Kazi ipo kweli kweli

Kwamba unajifanya umekaa chini umeumiza kichwa ndio ukaja na hiyo reasoning hapo 😀😀

Kwahiyo mpaka leo hujui tofauti ya Baba ako na Mama ako??
 
Sio tu jinsia hata maumbile ya viungo pia tunatofautiana , kwa kuongezea pia kuna baadhi ya homon wanawake wanao wanaume hawana kasome Genetics utaelewa zaidi kama hukuikimbia biology
 
Sio binadamu tu, hata wanyama wengine wapo wa kike na kiume....

Kwa umri wako na elimu yako nina uhakika mpaka leo hujui kutofautisha ndama jike na ndama dume
 
Back
Top Bottom