Ni kitu gani katika mwili wa binadam kinatofautisha kwamba huyu ni mwana mume au mwana mke

Ni kitu gani katika mwili wa binadam kinatofautisha kwamba huyu ni mwana mume au mwana mke

kwasasa, hizi ndo nyuzi zinazopendwa na mods🥲
Yani mkuu hii dunia imechanganyikiwa si kidogo... Jana nilikuwa antazama mjadara wa wanaopinga haya masuala ya gender assignment dhidi ya wale wanaotaka mtu ajiamulie anataka kuwa jinsia gani, wakiwa wanawasilisha hoja zao kwenye senate ya marekani, aisee watu wako dellusional.
Ila nilichogundua watu wengi wako against haya masuala na ni mojawapo ya kitu kilichofanya watu wengi waipigie kura republican dhidi ya democratic kutokana na sera yao ya kutaka eti watoto wadogo tu wajiamulie gender wakiwa shuleni, watoto ambao ni chini ya miaka 18. Tena wanawaanzishia matibabu ya kusupport gender walioichagua ikiwa ni pamoja na surgery.
 
Testosterone hormone ndo huwa inatutofautisha yaani wakati binadamu akiwa embryo huwa kuna mfanano lakni kinachokuja kuleta tofauti ni uwepo wa testosterone ambayo huwa inahusika na kutengeneza viungo mbalimbali vya wanaume hasa mfumo wa uzazi, wanawake huwa hawana hii hormone.
Lakini mfumo wa hormone huwa unamakosa japo ni nadra hasa Yale ambayo yanatokana na hormone fulani kuwa nyingi au ndogo ndio maana kuna sifa zimezoeleka kwny jinsia fulani lakini unaweza kuziona kwenye jinsia nyingine kama wanaume kuwa na maziwa au wanawake kuwa na ndevu
elezea na ile homon ya kike
 
Anaebadili jinsia tunamuweka kundi gani?
wale wanaitwa trans gender, siku hizi wanaandaliwa na selo zao kabisa wakifungwa wakae kivyao huko. Kumbuka kuna wale wenye jinsia mbili nao wako kundi hili. Sijui kwa nini magereza huwavua nguo wageni, huwa wanataka kuona jinsia zao au kuwapekua kama wameingia na vitu visivyotakiwa jela? Inakuwaje mtu kaingizwa selo ya wanawake au wanaume kumbe anazo jinsia mbili, si itakuwa wameona uchi wa mwanamke/mwanaume isivyostahili hao maaskari?
 
Enzi zetu za utoto ilikuwa ni marufuku kuona uchi wa mtu aliyekuzidi umri na ilikuwa mwiko. Uchi tulizoona ni za watoto wenzetu kwa kuwa kutovaa nguo ilikuwa kawaida tu hatushangai kuona mtoto mwenzako yuko uchi kama alivyozaliwa. Kutamani haikuwepo tunachunga na watoto wa kike wapo uchi poa tu. Siku hizi kuona uchi wa mtoto ni shughuli pevu, labda awe anaogeshwa ndio utajua jinsia yake
 
Yani mkuu hii dunia imechanganyikiwa si kidogo... Jana nilikuwa antazama mjadara wa wanaopinga haya masuala ya gender assignment dhidi ya wale wanaotaka mtu ajiamulie anataka kuwa jinsia gani, wakiwa wanawasilisha hoja zao kwenye senate ya marekani, aisee watu wako dellusional.
Ila nilichogundua watu wengi wako against haya masuala na ni mojawapo ya kitu kilichofanya watu wengi waipigie kura republican dhidi ya democratic kutokana na sera yao ya kutaka eti watoto wadogo tu wajiamulie gender wakiwa shuleni, watoto ambao ni chini ya miaka 18. Tena wanawaanzishia matibabu ya kusupport gender walioichagua ikiwa ni pamoja na surgery.
kwa bahati mbaya, utafika wakati tutashindwa kuzuia huu upuuzi...hiki kizazi ni cha namna yake🥲
 
Back
Top Bottom