Ni kitu gani kila ukisema leo ni mwisho hurudii tena mara unarudia tena?

Kuna wahuni watakuja kusema kununua malayer, kula ndogo n.k !
 
nyeto ina shida gani kama tayari umeshazalisha wanawake una watoto unawaza nini tena mpaka uwe na hofu maana zamani ndo tulijuaga inaharibu nguvu za kiume na hata mbegu zinaisha ubora kumbe ni uongo bhana kumbe kumbe ni uongo
tena uongo uliotukuka
 
HONGERA mkuu wewe uliwahi ukavitoa hivyo vitatu si wengine tunavitupa chooni.
 
Kichwa kina jieleza

wakuu hivi ni kitu gani unafanya ila kila...

Ukisema leo ni mwisho sirudii tena mara unajikuta unarudia tena ni kitu gani...?
Kusema ukweli kutoka moyoni ni nyeto🙈
Yaani ukishamaliza kuipuga wazungu wakatoa
Unajilaumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…