Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

Binafsi nliifaham JF kupitia google coz mda mwingi nlikuwa natafiti sana mambo ya afya..... Kila nikisearch chochote kihusucho afya, inakuja makala ya MziziMkavu +jamii forums. Hii ilinipa swali tena kichwani, "**Jamii forums n nn?,"
Nkaidadisi bt mostly nkihitaj kureply chochote kwenye makala naambiwa kuwa n lazima niwe member...

Baadae ktk pitapita zangu playstore nliona app nkaibeba thn nkajisajili juz kati tu.

Thats all
Hata mimi mzizi mkavu pia alichangia mimi kujihunga huku nilikuwa kama guest kuanzia 2014 baadae 2016 nikajiunga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ni kweli mkuu vijana tumekuja Kwa Kasi Sana humu Hadi wazee hawaamini Aisee
Kuna wazee hua tunapigana mikwara humu jamvini mpaka wanaona wananyanyasika Hivi
Maana vijana tuna kejeri Sana ila ndio hivyo muda mwingine inakua kuchangamsha genge tu
Hata mwanzilishi wa forum hii ndio ilikua lengo lake iwafikie vijana na kutupa mabadiliko chanya!
Unalosema ni kweli miaka hii jamii forum ndio imechangamka na ukiona mtu anasema zamani ndio kulikuwa na sijui great thinker kuliko sasa hapa JF ujue huyo mtu alikuwa kilaza yaan ukiona mtu anaongea kitu na ww unamuona anajua balaa jibu lake wewe ni kilaza huna unachojua empty set that's why unamuona yeye anajua
 
Back
Top Bottom