Ni kitu gani kilikupelekea mpaka ukajiunga na mtandao wa jamiiforum

Hata mimi mzizi mkavu pia alichangia mimi kujihunga huku nilikuwa kama guest kuanzia 2014 baadae 2016 nikajiunga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unalosema ni kweli miaka hii jamii forum ndio imechangamka na ukiona mtu anasema zamani ndio kulikuwa na sijui great thinker kuliko sasa hapa JF ujue huyo mtu alikuwa kilaza yaan ukiona mtu anaongea kitu na ww unamuona anajua balaa jibu lake wewe ni kilaza huna unachojua empty set that's why unamuona yeye anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…