Banjuka
JF-Expert Member
- May 7, 2021
- 1,007
- 1,922
Hii ni kweli, alafu huo umri ukifika kama hujawa na kwako ndio unakuta vijeba kibao vinakaa mbali na mji sababu hawafananii kupanga kwa umri wao. Hivyo wakipanga wanaenda mbali na mji huko mlima CCM.Kuna umri ukifika kwa jamii kupanga inaonekana ni kituko.