Hii ni kweli, alafu huo umri ukifika kama hujawa na kwako ndio unakuta vijeba kibao vinakaa mbali na mji sababu hawafananii kupanga kwa umri wao. Hivyo wakipanga wanaenda mbali na mji huko mlima CCM.Kuna umri ukifika kwa jamii kupanga inaonekana ni kituko.
Hongera kwa hatua nzuri uliyofikisha.naomba kujua kibali cha ujenzi huhitajika kwa nyumba yenye ukubwa gan,au ni haijalishi ukubwa wa nyumba kibali lazima kiwepo?Nyumba za kupanga ni kero sana ,nina mwaka wa 6 sasa napanga ,kwanza unajikuta unalipia wenzako wenye familia kubwa kodi za maji,mara mlinzi sijui na ikifika mda wa kulipa kodi duu majanga hakuna kusevu huo mwezi
Sasa nimeamua kujenga nipo kwenye kutafuta kibali cha ujenzi ,Mungu akijalia mwez wa 10 naanza ujenzi[emoji120]
Hongera kwa hatua nzuri uliyofikisha.naomba kujua kibali cha ujenzi huhitajika kwa nyumba yenye ukubwa gan,au ni haijalishi ukubwa wa nyumba kibali lazima kiwepo?
Pia vip kuhusu gharama za kibali cha ujenzi.
Changu bado hakijapimwaKama kiwanja chako kimepimwa basi huwezi jenga bila kupata Kibali toka ofisi ya ardhi wilayani kwako, na siku hizi naona Kuna baadhi ya maeneo hata viwanja vya squatter wanataka ujenge kwa kibali.
[emoji120][emoji120]Nenda kwa mwenyekiti wa mtaa/kitongoji wa eneo lako, kisha utapata taarifa muhimu zote.
Nyumba za kupanga ni kero sana ,nina mwaka wa 6 sasa napanga ,kwanza unajikuta unalipia wenzako wenye familia kubwa kodi za maji,mara mlinzi sijui na ikifika mda wa kulipa kodi duu majanga hakuna kusevu huo mwezi
Sasa nimeamua kujenga nipo kwenye kutafuta kibali cha ujenzi ,Mungu akijalia mwez wa 10 naanza ujenzi[emoji120]
Hongera kwa hatua nzuri uliyofikisha.naomba kujua kibali cha ujenzi huhitajika kwa nyumba yenye ukubwa gan,au ni haijalishi ukubwa wa nyumba kibali lazima kiwepo?
Pia vip kuhusu gharama za kibali cha ujenzi.
Mungu akuongoze ndugu yangu ufanikishe lengo lako. Na ukianza tu utaona vile nyumba itakavyoenda chap
Wala sio excuse ukibainika 50,000 au na faini juu inakuhusu..ishu ni mapatoChangu bado hakijapimwa
Nyumba za sehemu gani hizo hapa mjini unapangiwa muda wa kurudi?Ndiyo mkuu, unakuta unapanga kwenye nyumba shimo la choo linajaa kila baada ya week mbili, kila likijaa unatakiwa utoe laki ya kunyonya. Au unapanga nyumba unakuta mwenye nyumba anawapangia muda wa kurudi usiku anakwambia mwisho saa tano usiku ukichelewa tu geti limefungwa na Kuna mbwa koko.
Au unapanga nyumba inakuwa kama jini kwa kula umeme, na ukimwambia mwenye nyumba hana time. Nyingine unakuta Kuna room ya self ila choo cha kusquat na kimejaa, ukisaidia lazima uwe na ndoo 3 za kusukumia nyaaaa ha ha ha....tabu sana
[emoji16][emoji16]
Zipo aisee, kama unaendelea kupanga utakutana nazo, unaambiwa kabisa geti linafungwa muda fln, ukifika muda huo geti linafungwa na wanafungulia mbwa, sasa wewe endelea kula bata ukirudi utalala nje. Unashangaa hiyo, Kuna sehemu zingine ukienda kupanga unaulizwa kama una watoto, kama unao hakupangishi.Nyumba za sehemu gani hizo hapa mjini unapangiwa muda wa kurudi?
Uliuliza kwanini hawapendi mwenye watoto?!Zipo aisee, kama unaendelea kupanga utakutana nazo, unaambiwa kabisa geti linafungwa muda fln, ukifika muda huo geti linafungwa na wanafungulia mbwa, sasa wewe endelea kula bata ukirudi utalala nje. Unashangaa hiyo, Kuna sehemu zingine ukienda kupanga unaulizwa kama una watoto, kama unao hakupangishi.
Yaani mwenye nyumba anatafuta mpangaji wa nyumba ya rooms tatu ambayo obvious ni family house, ila anakwambia hataki watoto, unabaki [emoji2377].
Sikuona umuhimu wa kumuuliza, zaidi ya kuondoka, zangu sababu hakuna sababu yyt itakayoleta mantiki ya kumzuia mtu asikae na watoto kwenye nyumba yako ilhali unajua kabisa nyumba ya vyumba 3 ni adimu sana kuishi bachela.Uliuliza kwanini hawapendi mwenye watoto?!
Hakuna sababu itakayoleta mantiki kwako, ungemuuliza ujue sababu yake inaweza kuwa na mantiki kwake.Sikuona umuhimu wa kumuuliza, zaidi ya kuondoka, zangu sababu hakuna sababu yyt itakayoleta mantiki ya kumzuia mtu asikae na watoto kwenye nyumba yako ilhali unajua kabisa nyumba ya vyumba 3 ni adimu sana kuishi bachela.
Usikute umeoa MMACHAME!Mke wangu ana gubu, na dharau,anatunishiana misuli na wenye nyumba,yaani kila nyumba tukipanga ile kodi ya kuigilia ndio huwa ya mwisho.
Tukaona tujenge ya kwetu/ zetu.sasa hivi nae ni land lord na upole umekuja ghafla.
Nae eti anachukia wapangaji wakorofi.
Ni vyema basi angeishi yeye mwenyewe basi kuepusha hiyo kadhia, wanasemaga "you can not have an omelet without breaking an egg" ilitakiwa achague moja akae mwenyewe au apangishe apate pesa huku aki deal na matokeo ya yeye kupangisha, ni rahisi kiasi hicho.Hakuna sababu itakayoleta mantiki kwako, ungemuuliza ujue sababu yake inaweza kuwa na mantiki kwake.