Ni kitu Gani kinachokurudisha kwenye mapambano ya maisha unapokaribia kukata tamaa???

Harmful

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
163
Reaction score
619
Kwenye maisha kuna vipindi vigumu tunapitia kama wanadamu mpaka unakaribia kukata tamaa kama sio kukata tamaa kabisa

Ila ukifikiria familia yako,Hali yako ya maisha,manyanyaso na fedhea unazopitia unasema hapana,lazma ninyanyuke tena kwaajili ya kufanikisha malengo yangu.

Je we ni kipi kinakufanya urudi tena kwenye mapambano ya maisha???
 
Mama yangu mzazi, Mungu ampe maisha marefu na yenye kheri daima yule mrembo..!!

Kuna kipindi niliwahi pitia kigumu mno nikatamani 'nitoweke' duniani, ila nilivyomfikiria yule Mama na Imani kubwa aliyo nayo juu yangu, nikaachana na hilo wazo moja kwa moja..!!

Ninamshukuru sana Mungu sababu ana kusudi bado na maisha yangu na ninauona ukuu wake kila iitwapo Leo..!,🙏
 
Jah aendelee kukubless madam
 
Yesu akutunze dear🙏
 
Watu wenye mahitaji maalumu au wanao hitaji msaada, Moja ya mipango yangu ni kuwa na a giving privilege foundation.

amini kwenye hii dunia Kuna watu Wana hitaji msaada wa hali na mali, maisha ni magumu kwa hawa watu.
wengine Wana changamoto za kiafya, ki elimu, mitaji, na mengine.

Kila niki fikiria nani ata wasaidia, jibu huwa ni Mimi.
 
Kwenye maisha kuna vipindi vigumu tunapitia kama wanadamu mpaka unakaribia kukata tamaa kama sio kukata tamaa kabisa

Ila ukifikiria familia yako,Hali yako ya maisha,manyanyaso na fedhea unazopitia unasema hapana,lazma ninyanyuke tena kwaajili ya kufanikisha malengo yangu.

Je we ni kipi kinakufanya urudi tena kwenye mapambano ya maisha???
Binti zangu wanne,nikifikiria,jinsi maisha yanavyogonga vijana, na kwa mtoto wa kike ni maradufu! Nawatengenezea maisha yenye unafuu, ili wasije kupigika sana.
 
Chama changu Cha ma jobless pro max, kila niki fikiria nani ata waongoza na kuwa tetea sioni mtu.

nani ata wapa michongo, mipango na hata uamuzi?.

Raisi wa chama Cha ma jobless pro max ni Intelligent businessman.
makamu wake ni Bolotoba.

katibu wa ma jobless ni min -me, mratibu wa mipango ni Edo kissy.

waziri wa mambo ya ndani ni Thecoder, wakili wa ma jobless ni Selikavu na msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora.

Kidumu chama Cha ma jobless pro max.
OIG2.uG.jpeg
 
Back
Top Bottom