Ni kitu Gani kinachokurudisha kwenye mapambano ya maisha unapokaribia kukata tamaa???

Ni kitu Gani kinachokurudisha kwenye mapambano ya maisha unapokaribia kukata tamaa???

Kwenye maisha kuna vipindi vigumu tunapitia kama wanadamu mpaka unakaribia kukata tamaa kama sio kukata tamaa kabisa

Ila ukifikiria familia yako,Hali yako ya maisha,manyanyaso na fedhea unazopitia unasema hapana,lazma ninyanyuke tena kwaajili ya kufanikisha malengo yangu.

Je we ni kipi kinakufanya urudi tena kwenye mapambano ya maisha???

Pride
 
nikifikiliaga tu nililetwa duniani bila hiali yangu acha kikombe changu ni kinywe hakuna anayeweza badilisha maisha yangu bali ni mimi tu ,napata nguvu nakuendeleza mapambano
 
Back
Top Bottom