Jah aendelee kukubless madamMama yangu mzazi, Mungu ampe maisha marefu na yenye kheri daima yule mrembo..!!
Kuna kipindi niliwahi pitia kigumu mno nikatamani 'nitoweke' duniani, ila nilivyomfikiria yule Mama na Imani kubwa aliyo nayo juu yangu, nikaachana na hilo wazo moja kwa moja..!!
Ninamshukuru sana Mungu sababu ana kusudi bado na maisha yangu na ninauona ukuu wake kila iitwapo Leo..!,🙏
Yesu akutunze dear🙏Mama yangu mzazi, Mungu ampe maisha marefu na yenye kheri daima yule mrembo..!!
Kuna kipindi niliwahi pitia kigumu mno nikatamani 'nitoweke' duniani, ila nilivyomfikiria yule Mama na Imani kubwa aliyo nayo juu yangu, nikaachana na hilo wazo moja kwa moja..!!
Ninamshukuru sana Mungu sababu ana kusudi bado na maisha yangu na ninauona ukuu wake kila iitwapo Leo..!,🙏
Never lose until winHii nukuu
''Wewe kama unakata tamaa kata tu sio lazima wote tuwe matajiri''
🤣🤣🤣Mbususu aisee....yaani nikikumbuka utelezi lazima nipambane kusaka hela ili niendeleee kuteleza ndani ya mbususu za warembo
Binti zangu wanne,nikifikiria,jinsi maisha yanavyogonga vijana, na kwa mtoto wa kike ni maradufu! Nawatengenezea maisha yenye unafuu, ili wasije kupigika sana.Kwenye maisha kuna vipindi vigumu tunapitia kama wanadamu mpaka unakaribia kukata tamaa kama sio kukata tamaa kabisa
Ila ukifikiria familia yako,Hali yako ya maisha,manyanyaso na fedhea unazopitia unasema hapana,lazma ninyanyuke tena kwaajili ya kufanikisha malengo yangu.
Je we ni kipi kinakufanya urudi tena kwenye mapambano ya maisha???