Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo.
Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya
Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki
Nusu ya wasanii wanavuta weed
Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana wanaweza kuishi kwa pesa za muziki.