Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

Ukikaribishwa na mhudumu ana kitabu/tablet ya Menu na wahudumu wote wana badge za majina.
-restaurant iliyo beach
-Menu zao zimeanza na STARTERS , sijui SERVED WITH mashed onion sijui potato, Unakuta upande wa Vinywaji WINE BY GLASS/CHAMPAGNE BY GLASS
- ukikuta katika vinywaji kuna DOM PERIGNON mkuu kimbia vunja mguu...
-Restaurant iko Garden/Rooftop oyaa🤣🤣🤣🙆‍♀️
 
Duu!! Huko nendeni wenye nafasi sisi underground ngoja tuendelee kula kwa mama ntilie,wali wa 1k au makoko Yale ya 500 jioni anapotaka kufunga
 
Heeeeeeeiyaaah!!👌

Jamani uduguu wangu natamba naye uduguu/

Udugu wangu mwenyewe natamba naye uduguu/

Wakituona tuko pamoja wananuna uduguu/

Kwenye shida na raha tuko wote udugu/ uduguu..

Vizabi zabina wakituona wanavimba sura udugu/ udugu wangu

🤣🤣🤣🤣 weee uduguuu cocastic
Leo nna mood y’a vingunguti na mwananyamala
 
Heeeeeeeiyaaah!![emoji108]

Jamani uduguu wangu natamba naye uduguu/

Udugu wangu mwenyewe natamba naye uduguu/

Wakituona tuko pamoja wananuna uduguu/

Kwenye shida na raha tuko wote udugu/ uduguu..

Vizabi zabina wakituona wanavimba sura udugu/ udugu wangu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] weee uduguuu cocastic
Leo nna mood y’a vingunguti na mwananyamala
Uduguuu kweli umeamkia vingungutii kidarajaniiii.
Woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado tuko sanaaaaa, weraaaaah weraaaaah
 
Ukiona mgawaha Una Ac, Menyu mezani au wanakuletea kijitableti, Free WiFi, Wahudumu wamevalia Sare tena zenye majina..
Picha na Michoro ukutani + urembo urembo Kama taa.

Kimbia haraka Sana Utadharirika.
 
Car parking kama hamna Masai, bodaboda, bajaj, Toyota IST) Wish/Passo
 
Back
Top Bottom