Habibatamimu
Member
- Oct 1, 2026
- 17
- 17
"Kweri kutakatisha nguo kwa mikono kunaweza kuwa kazi,hasa kama kuna madoa magumu.ni aina gani ya madoa/uchafu ambao unakusumbua zaidi?"Kutakatisha nguo kwa mikono....
Aah tiles za bafuni pia zinaweza kuwa changamoto..Tiles za bafuni
Duh.... madoa doa mkuu"Kweri kutakatisha nguo kwa mikono kunaweza kuwa kazi,hasa kama kuna madoa magumu.ni aina gani ya madoa/uchafu ambao unakusumbua zaidi?"
ππAisee madoa ndiyo Adui WA nguo kabisa.kuna baadhi yanaingia Mpka unajiuliza yamejipangia nyumba πDuh.... madoa doa mkuu
ππ Mkuu were usafi umekukataa kabisa!Mimi sifanyagi usafi mkuu, nakaa hadi chumba kijae uchafu alafu nahama tu, sitaki usumbufu aiseee....π«€