Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
mkuu hayo mambo sio lazima yatokee kama unavyisema, na yakitokea jua kuwa ni tatizo hilo.Mtoto akianza kukaa ni lazima aharishe. Akiota meno anakuwa na homa kali na kuharisha. Akianza kutambaa hivyo hivyo lazima kuwe na kuharisha. Kusimama na kutembea anapitia hatua hiyo.
Swali kwa watu wa tiba. Nini kinasababisha mtoto kuharisha au kupata homa kali wakati akitoka stage moja kwenda ingine?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app