Ni kitu gani kinasababisha mtoto anapotoka kwenye stage moja kwenda nyingine aharishe?

Ni kitu gani kinasababisha mtoto anapotoka kwenye stage moja kwenda nyingine aharishe?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Mtoto akianza kukaa ni lazima aharishe. Akiota meno anakuwa na homa kali na kuharisha. Akianza kutambaa hivyo hivyo lazima kuwe na kuharisha. Kusimama na kutembea anapitia hatua hiyo.

Swali kwa watu wa tiba. Nini kinasababisha mtoto kuharisha au kupata homa kali wakati akitoka stage moja kwenda ingine?

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hayo mambo sio lazima yatokee kama unavyisema, na yakitokea jua kuwa ni tatizo hilo.
Labda ambalo hutokea mara kwa mara ni hilo la homa au kuharisha mtoto anapokuwa anaota meno, na mpaka sasa hakuna uthibitisho wa moja kwa moja unaaonesha namna hivyo vitu vinavyohusiana (pathophysiology),zipo sababu za juu juu kama gingival inflammation in case of fever, excessive saliva production during teeth eruption ambapo hayo mate hu'disturb njia ya chakula na kusababisha kuharisha na mengine kama hayo (kuna vitu hapa nashindwa kuviandika kiswahili).

hizo stages nyingine ni matokeo ya mtoto kuchezea vitu vingi, kushika shika vingi, hivyo anakula uchafu mara kwa mara na ndio maana wanaharisha.
Tukijifunza kuwaweka watoto katika hali ya usafi muda wote hatutaona hayo mambo ya kuharisha wakati wanaanza kutembea nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom