Habari wataalam.
Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui.
Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe wataalam mi nachotaka ni huduma.
Sasa kama sababu ndio hiyo ya traffic maana yake mitandao ya simu imezidiwa na kama imezidiwa tutaishi hivyo hadi lini.Ikifika usiku basi huduma hamna.
Sasa sijui huko kwako Hali ikoje mi nimeongelea kwangu tu.
Usiku mwema.