tumieni mitandao muafaka ya simu lakini pia, tumieni vifaa vya kisasa zaidi kunasa mtandao vyema...Habari wataalam.
Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida.Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui...
Sasa ina maana watu wa Hali ya chini watulie ivoivo. Au inawezekana simu nyingi za Hali duni ni feki.tumieni mitandao muafaka ya simu lakini pia, tumieni vifaa vya kisasa zaidi kunasa mtandao vyema...
mbona Internet iko vizur tu na ina speed zaidi usiku π
Nazungunzia usiku mitandao ndio inakuwa kama Kobe.watu wamekuwa wamelala, mchana ile minara inalemewa na watumiaji na usiku wengi wanakuwa wamezima data
sifahamu,Sasa ina maana watu wa Hali ya chini watulie ivoivo. Au inawezekana simu nyingi za Hali duni ni feki.
Yes that true,Binafsi usiku ndio naona mtandao unakuwa poa
Inakua na uchovu wa kukimbia mchana kutwa.Habari wataalam.
Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui.
Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe wataalam mi nachotaka ni huduma.
Sasa kama sababu ndio hiyo ya traffic maana yake mitandao ya simu imezidiwa na kama imezidiwa tutaishi hivyo hadi lini.Ikifika usiku basi huduma hamna.
Sasa sijui huko kwako Hali ikoje mi nimeongelea kwangu tu.
Usiku mwema.