Ni kitu gani kinatakiwa kufatwa unapopunguzwa kazini?

Ni kitu gani kinatakiwa kufatwa unapopunguzwa kazini?

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
2,655
Reaction score
2,650
Naombeni kujua ni haki zipi alizonazo mfanyakazi anapopunguzwa kazi? Kipi anatakiwa kupata?
 
Hee kwani retrenchment notes haijazungumza terminal benefits unazostahili ? Au uliajiliwa na mshikaji mtaani ameona mambo magumu akaamua kutemesha vijana?

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Jihu

jibu swali acha kukurupuka Mkuu
 
Mkuu barua yako ya kupunguzwa ndio inaandikwa sababu za kupunguza kazi kama vile kubana matumizi y kampuni au taasisi pia mafao yako nk
 
Wanasheria wapo kimya, ina maana hilo swali limekosa majibu? Mkuu tembelea ofisi yeyote ya wanasheria kwa ufafanuzi zaidi ila kwa machache inatakiwa wewe na muajiri wako mkae meza moja kwa ajili ya negotiations. Anaweza kulipa miezi 12 kulingana na sheria au miezi 8 au 3 kulingana na makubaliano kati yako na muajiri wako.
Nimekujibu hivyo kwa sababu nami nimekumbwa na tatizo kama la kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom