Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
kwa wale wanaofahamu wadada wa kirangi hebu tuambieni ni kwanini hawa wadada wamekuwa gumzo hapo mjini
je ni kwa sababu ya ule uzulii wao hapa mjini au urembo waoo hebu tupeni siri jamani why wadada wa kirangi kipindi cha hivi karibuni wamekuwa gumzo imefika hatua wamewafunika hadi wadada wa kizaramo
Sent using Jamii Forums mobile app